Duration 19:37

MSANII DORAH AMWAGA MACHOZI; MIMI ni Mwanamke, NINA HAKI ZANGU KUWA NA MPENZI

1 829 287 watched
0
9.2 K
Published 5 Jan 2020

MSANII DORAH AMWAGA MACHOZI; "MIMI ni Mwanamke, NINA HAKI ZANGU KUWA NA MPENZI! Msanii mwenye umbo dogo lakini ni msichana mwenye umri wa miaka 24, Wanswekula Zacharia Lotti, maarufu kwa jina la DORAH, anayetamba katika tamthilia ya KAPUNI, amemwaga machozi kwa uchungu baada ya kuelezea namna anavyochukuliwa na jamii, kama ni mtoto mdogo na hivyo hastahili hata kuwa na mpenzi....ameongea mengi EXCLUSIVELY na Global TV, msikilize... GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) HABARI MPYA DAILY:/playlist?list ... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:/playlist?list ... GLOBAL RADIO TV:/playlist?list ...

Category

Show more

Comments - 1270