Duration 14:17

MITIMINGI 270 DALILI ZA KUMJUA MCHUMBA ASIYEKUFAA KATIKA NDOA

463 747 watched
0
2.8 K
Published 11 Dec 2017

Category

Show more

Comments - 246
  • @
    @alexandermpinduly45195 years ago amen unanitoa ujinga kabisa Mungu akubariki 14
  • @
    @hashkhantantrasiraji1184 years ago Pumzika kwa Amani mafundisho yako yatadumu milele Elimu kubwa na Bora umeiacha Dunian, RIP MITIMINGI 😭 3
  • @
    @somicotv30005 years ago Nimemfuatilia sna huyu mchungaji, ana mawaidha madhuri sana, lakini anapaswa kuwa tu mshauri au mwanasaikolojia kusaidia watu kuliko kujiita mchungaji, maana ana injili ya kuoa na kuoaana ambao si Ufalme wa Mungu, ni mtaalamu tu mambo ya kijamii. Ukristo, kazi ipo. ... 7
  • @
    @fidelismukandara9325 years ago Nakupenda sana mshaurii wangu!!! Mungu akubarikii 8
  • @
    @shigongodaniel-uz3vz9 months ago Napenda sana mafundisho yako mchungajiji
  • @
    @tupokesanga21232 years ago Asanteee mwalimu nimeelewaa. Endelea kusema tuponee baba
  • @
    @christinarobert92075 years ago Aisee mchungaji ujumbe huu umeungusa sana moyo wangu km vile ulijua kilicho ndani yangu mwenyez mungu akubarik sana 7
  • @
    @pendondossy21584 years ago Eti imebaki story imebaki kukuangali tu jmn r.I.p dady 11
  • @
    @liliankapaya80175 years ago Somo nzuri sana Mungu akubariki kwa mafundisho yako mazuri na barikiwa sans 2
  • @
    @mathayowilson15254 years ago Dunia unapoteza vitu vya thamani, IPO SIKU ktk KRISTO mfalme tutakuja kuwaona mashujaa wote tangu Henoko, rip Dr Peter Mitimingi 1
  • @
    @josephbunzari58304 years ago Mtumishi ananijenga Sana kiubongo ubalikiwe sana 1
  • @
    @joycejumaa71815 years ago Mupenda mafundisho hupenda marifa nimekarikiwa Sana na mungu azidi kukutumia ili utufundishe Amina sana 4
  • @
    @happymeshack48904 years ago 😪😪😪😪😪😪 mungu akupmzishe salama baba 😭😭😭😭 tutayapata wp haya mafundsh tna 2
  • @
    @tfsnothzonesame62826 years ago Mungu akubariki Mtumishi wa kutufundisha yaliyo kweli ni wachimgaji wachachesana wanaosema ukweli 1
  • @
    @khasoaprosper375 years ago Cha muno ni kwamba.. Ndoa na Yesu lipi mwanzo. Mafunzo mazuri mtumishi
  • @
    @alicejohn23706 years ago Man of God Dr Mitimingi Mungu azidi kukuinua maisha marefu yawe juu yako Dady.
  • @
    @evanskatunzi67296 years ago Huyu baba nimeanza kumfatiliaa mda c mrefu aiseee anazungumzaa kitu ambacho kipo kwa cc vijana mahusiano mabovu yanatuharibiaa sana future aiseee mungu akubariki sana mzee 54
  • @
    @kijanamwepesi69972 years ago Mm muislam ila huyu mwalimu kiboko anamafunzo mazuri yakuelimisha kila dini alizo zitaja
  • @
    @joycebilauri83036 years ago Injili kamili isiyochakachuliwa namshukuru Mungu kwa kuachilia baraka ya pastor of such kind maana nachoamn ndoa ni kama baseline ya kila kitu hapa chini ya jua maana ofcn darasan, kazini, Huduma na utumishi na vitu vyote pacpo stable ndoa hapana kitakacho stawi. Barikiwa sana kwa utumishi aminifu ... 3
  • @
    @angelomedard5 years ago thanks father MUNGU akuongoze uendelee kubusti akili zetu vijana 3
  • @
    @lilianurio97816 years ago jaman, god bless you, niko very stressed lakini nimefarijika kwa ujumbe huu 25
  • @
    @hamidakassim44 years ago 💯💯💯💯💯🇹🇿🇹🇿🇹🇿ukwelii kabsaaaaa Mtumishiiiii 👏👏👏👏👏👏
  • @
    @baranmohamedmbashir52994 years ago Inalila wainalilahi rajiun pole sana ndungu zetu mungu amuake pema penye wema peponi inshallah
  • @
    @salmaluhombero98094 years ago Of course nyingi hakufai kweli Rest in peace kaka nimeona kwa macho yangu mwanaume wa hivyo 3
  • @
    @victoriachesco28336 years ago Mungu akubariki najua mungu amekutumia leo kwangu kunifungua 1
  • @
    @greygoryhenry19692 years ago R.I.P, Mungu Akupokee Bado tutaenzi Mafundisho Yako
  • @
    @florabenjamin67944 years ago Napenda sana maubili yako mungu akupumzishe kwamani jamani
  • @
    @maduhucodejb32146 years ago Napenda kusikiliza mafundisho yako kwani najifunza mengi.
    Mungu alikuleta kwa lengo maarumu Ahsante sana Mungu akupe maisha malefu
    1
  • @
    @stellamoss85735 years ago ubalikiwe mtumishi wa mungu ujumbe mzuri 1
  • @
    @catenzeki6785 years ago Kasema kweli kuhusu swala la dini ,mi nko na dadangu mkubwa aliolewa na mtu muislamu na yy akakataa kuslimu.Watoto wakawa wanaenda madrasa lkni baadae wakatengana ikabidi watoto waanze kwenda kanisani...amini usiamini watoto walichanganyikiwa vbaya ilitek tym wao kucope na mambo ya kanisani.Swala la dini ni kwli ... 1
  • @
    @elizabethmwandu69376 years ago Hakika mafundisho yako napenda kuyafuatilia sana. Ubarikiwe sana kwa mafundisho yako mazuri. 10
  • @
    @precs_jones5 years ago Kweli kabisa mch.
    Ubarikiwe sana
    3
  • @
    @devotaagustino62215 years ago barikiwa Sana mtumish nabarikiwa na mafundisho yako yan naamini ntatoka vizur 1
  • @
    @goodluckmoshi55444 years ago Yesu wa mission town
    hapa nimekupata sana
    1
  • @
    @monicakivuyo11975 years ago Nakukubali sana barikiwa Mtumishi wa Mungu
  • @
    @rechoyusuph65066 years ago thanks kwa mafundisho mungu axid kukuinua
  • @
    @yusuphmussa65895 years ago mchungaji umenikuna. kuna mwanamke nilikuwa nae ktk mahusiano kwamiaka miwili. ikafka nataka kumuoa rakini Maisha yangu wakati uwo magumu. akanipa pesa laki Saba niende kwao kulipa mahali.lakini Mimi nilimpa pesa yake kwani niliikataa kwasabu takuwa nimeolewa...leo nauwezo ata wakulipa mahali mwenyewe nashika pesa anitaki.mpaka aolewa nakijana ambae kamlipia mahali. ... 1
  • @
    @henrykinga14846 years ago Pastor nakwamin sana naamin umetufundisha ktu 1
  • @
    @frankmosha58546 years ago yes mtumishi wa mungu unasaidia mabilion ya watu ubarikiwe
  • @
    @tatianakyungu53054 years ago 😢😭 oh s était un homme de DIEU que j apprécié bcp
  • @
    @kalengemochi1104 years ago Kwa nn watu kama hawa hawakawii kufa da;; mungu aiweke mahali pema roho ya mch
  • @
    @janethmwangasa10817 years ago mungu akubariki kwa mafundisho mazuriiiii 1
  • @
    @cattyrichard17146 years ago mchungaji ubarikiwee cn kwa mahubir yanayotubadilisha 1
  • @
    @robsonebenedicto54245 years ago Wengine wanataka kujua uko umbali gani Na wazazi 7
  • @
    @NeroForte_3 years ago Hayo mafundisho video hii inapoishhia naweza kuyapata wapi full.?
  • @
    @mauaiddy70336 years ago Asante baba umenifungua sana lakn nmecheka sna umenifurahsha 1
  • @
    @marthagodson44474 years ago We will miss u aisee hizi nondo tutazipata WAP tena 2
  • @
    @hasinatilafaeli6165 years ago Ndio naanza kukufatilia mungu akubaliki 1
  • @
    @magulumakenzi53425 years ago Changamoto ni tamaduni zingine kijana kujitegemea mpaka aoe. 3
  • @
    @gracekayunga48026 years ago Nashukuru sana Kwa mafundisho mazur ubarikiwa
  • @
    @samueljr91055 years ago Kunywa soda mchungaji nitumie pay bill vijana amkeni 5
  • @
    @furahaema60006 years ago na barikiwa na mafundisho yako ubarikiwe sana mutumishi wa Mungu
  • @
    @marthamwasubila47736 years ago Tunashkuru mtumishi kwa mafundisho mazuri. 1
  • @
    @HiHello-gc7lt2 years ago Amen mchugaji,,,,,humeongea hukweli kabisa
  • @
    @joshuaandrew3864 years ago Nikikupenda Sana my Dad ila da!! MUNGU alikupenda na hadi kukuchukua mmh kibinadam inauma Sana umetuachia maumivu pengo lisilozibika kwa nafasi yako
  • @
    @neemamaganga97743 years ago Ingawa ulitutoka ila injiri yako inaishi kwetu
  • @
    @sharifachacha9785 years ago Hahahahahahahahahaaaaa eti mungu atanishangaa 1
  • @
    @farajakigula36286 years ago Mtumishi Sema vijana tupone yanapenyaaaa Sana asiye kuelewa ni yule alie kufa 8