Duration 8:59

Spika wa bunge Job Ndugai atoaneno mala baada ya kuwaapisha wabunge watatu walioteuliwa jana.

309 watched
0
10
Published 1 Apr 2021

Wabunge watatu walioteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan jana Machi 31, 2021 wamewasili bungeni mjini Dodoma leo Alhamisi Aprili mosi, 2021 kwa ajili ya kuapishwa na kuanza majukumu yao mapya.

Category

Show more

Comments - 0