Duration 1:51

MKUU WA MKOA WA MOROGORO, MHE.MALIMA AOMBA KUSHIRIKIANA NA TAFORI,TFS KUPANDA MITI MKOA WA MOROGORO.

Published 9 Aug 2023

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima ameomba kushirikiana na TAFORI pamoja na TFS kupanda miti ya kutosha kuokoa vyanzo vya aji mkoni Morogoro. Ameyazungumza hayo baada ya Waziri Mchengerwa Kumaliza ziara yake katika Maonesho ya nanenane yaliyofanyika katika viwanja vya Mwl.J.K. Nyerere,Mkoani Morogoro.

Category

Show more

Comments - 0