Duration 6:3

'Knockout ya Mfalme wa Wazaramo': Dullah Mbabe vs Simon Tcheta - Usiku wa Mabingwa

201 822 watched
0
753
Published 26 Dec 2020

Baada ya kupoteza mapambano kadhaa ndani na nje ya nchi, Abdallah Pazi a.k.a Dullah Mbabe ameuonesha uwezo na moto uliomfanya aheshimiwe siku zote kwenye vitasa. Raundi moja tu ikamtosha Dullah Mbabe kumsambaratisha Simon Tcheta wa Malawi kwa knockout. Burudani kamili hii hapa. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 110