Duration 4:7

RAIS DK.MWINYI AMEKUTANA NA KAMATI YA MASHINDANO YA MARATHON

28 watched
0
1
Published 25 Jun 2021

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kufanyika kwa Tamasha la Mashindano ya Kimataifa ya Marathon (Zanzibar International Marathon – ZIM ) hapa nchini, kutaonyesha utayari wa Serikali katika kuvutia Wawekezaji, hususan kupitia sekta ya Utalii.

Category

Show more

Comments - 0