Duration 4:51

Rais Magufuli amewataka mawaziri wa wizara ya ujenzi na TAMISEMI kutangaza faida iliyopatikana DART.

1 891 watched
0
5
Published 25 Jan 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ameagiza wizara na wasimamizi wa mradi wa mabasi yaendayo haraka DART kujenga kituo cha daladala na magari madogo katika eneo la Kimara ili kuwezesha wakazi kunufaika vyema na mradi huo.

Category

Show more

Comments - 0