Duration 25:56

HISTORIA YA CHIFU MKWAWA / WAZUNGU WANAYOIFICHA

868 851 watched
0
5 K
Published 23 May 2019

HISTORIA YA CHIFU MKWAWA / WAZUNGU WANAYOIFICHA! Wahehe walimuita Mkwawa mtwa, waswahili wakamuita mfalme, Unyanyembe wakamuita mtemi, waha wakamuita Mwami na shuleni tukamuita Chifu Mkwawa, mwanaume pekee aliyewanyoa nywele wazungu bila maji. Huyu mwanaume kiboko ya Wajerumani ni uzao wa yule jiniazi kutoka nchi ya Uhabeshi, Ethiopia ya leo, aliyefika katika ufalme wa Mwamududa miaka 1700 akiwa na teknolojia ya kuwinda kwa mbwa. #CHIFUMKWAWA /playlist?list ... /watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Category

Show more

Comments - 851
  • @
    @venstonvedasto5 years ago Anastahili views milioni mm mkwawa nmemuelewa leo tangu nimalize form 4. 196
  • @
    @bonifacechengula61172 years ago Brilliant narrator, you are so eloquent that i love listening to your story. 5
  • @
    @shabanikamsawa4244 years ago Jamaa bora awe mwalimu wa history anae kubaliana na mm. Gonga like hapa tujuane. 28
  • @
    @andrewshustle13314 months ago 2024 niko hapa tena kurudia kuiskiliza hii historia adhimu ya chief mkwawa. 2
  • @
    @djatm13195 years ago Napenda sana vile huyu jamaa husoma historia. Nikiwa hapa nairobi/kenya. 138
  • @
    @abdallahhamad44995 years ago Kama ungependa hii story waifanyie movie
    kama mimi ninavyotamani gonga like.
    18
  • @
    @victorsimfukwe53094 years ago Tunashukuru kwa taarifa zenu nzuli hakika tunaelimika na kufahamu histor mbali. 3
  • @
    @owinochris98863 years ago Mpagaze & edga mubarikiwe sana kwaku elemisha ulimwengu nawapenda sana, 1
  • @
    @maijayahaya37705 years ago Kusoma kwangu koote adi form 4 leo ndio nimeelewa hii story, hongera bro. 39
  • @
    @mbwanarajab72385 years ago Hawa ndio wangetakiwa kuongoza nchi kwa kuihangaikia sana nchi hii. 6
  • @
    @jameschumbula73513 years ago Afrika mashariki muhehe ndio kabila lakwaza kuvaa nguo. Asantee sana kutujuza kaka pamoja sana. 3
  • @
    @sheldonmbakaya5 years ago Nikiwa shuleni historia haikunishika, sasa hivi nashika historia na kuielewa vyema kwa lugha mufti ya kiswahili na global tv
    nakushukuru ananias mpagaze.
    4
  • @
    @mpogoletv.59665 years ago Namkubali sana mkwawa na uwa sichoki kutembelea fuvu na makazi yake kule karenga. 2
  • @
    @marymichelle62805 years ago Hongera sana mtoa historia, napenda sana vile unasoma historia. Unafundisha na kueleweka. Safi. 38
  • @
    @duniacafe4 years ago Kamwene! Ndimno fuela. Kaka, nakushukuruziada yashule ya msingi forodhani. Naomba uendelee na utafiti wako na kuandika ya watemi wote. Itapendeza pia ukifanya video ya mangi meli, isiki, rumanyika wa karagwe, mirambo, nk. Na methalizilinoga kweli. ...Expand 5
  • @
    @jimmyandrew38835 years ago Im proud to be hehe na mama yangu ni semduda uzao ulee. 24
  • @
    @innocentmmbando54845 years ago Kaka hongera kwa simuliz maridhawa.
    naomba siku moja utupe simulizi ya mangi wa wachaga!
    52
  • @
    @kacherosimba57624 years ago Dah naomba mzee baba utoe cdii yaniitakua poasana. 1
  • @
    @bakariluhala73325 years ago Asante kutupatia kitu kizuri kama hiki. 11
  • @
    @FamSalome5 years ago Global tv kuna historia kadhaa natamani mgeziweka tukazisikia, historia ya mwalimu nyerere, kenyatta, joseph kony, mauji ya kimbari rwanda. Waiyaki wa . ...Expand 28
  • @
    @saddybrezzy977711 months ago Ananias edgar ni best historical ever.
  • @
    @ahmadkafashe74275 years ago Bro unaipenda kwel kaz yako. Mungu akuongoze kwa kila jambo la hery. Unafanunua kwel na kama ungekuw mwalim wng bas ningekuw wa kufaulu maan nakuelewa vzr. 30
  • @
    @fubanjenjele5215 years ago Resistance against the imposition of colonial rule
    small scale resistance# mtwa mkwawa.
    16
  • @
    @johnsylivester84125 years ago We jamaa nakupenda sana wewe, hd sauti yako. Tuletee watemi na machifu wa singida. 4
  • @
    @juliethhouseofdesigns1474 years ago Ananias unavyosimulia utadhani alikuwepo hongera sana aisee. Apo kwa wapelelezi kula nyama ya mbwa. 2
  • @
    @georgenagabona2035 years ago Upo vizuri nipe story ya lucky dube kwa ndani zaidi. 13
  • @
    @gosbertrwezahura36453 years ago Mkuu sijui tukushukuruje. Wewe ni chuma katika historia. Tunaomba mtuandikie historia yetukwenye shule zetu na vyuo vyetu tuachane na hizi historia za kusifia wazungu akina livingstone na karl peters na kujiona wanyonge. Serikali inabidi iwatumie vizuri ili mtusaidie tufahamu historia yetu. ...Expand 4
  • @
    @isackhassan65515 years ago Elimu ya wazungu kwa wa-afrika is a system of misseducation us as afrikan, wanajua historia yetu kuliko tunavoijua. 6
  • @
    @UzalendoNaUtu5 years ago Brother mi ni muhehe na ninaijua vizuri historia yetu ila nmeirudia kuiskiliza kwa sababu ya usimuliaji wako mzuri, big up! Mungu akuinue katika kazi zako. 4
  • @
    @joshualwelu73024 years ago Wazungu kazi walionyeshwa. Big up kwa wazawa wetu waliokuwa na msimamo. 2
  • @
    @manyandatimoth75 years ago Msukuma chapa ya ng' 0mbe. Dah umejua kunifurahisha. 26
  • @
    @sportstanzaniatvonline5 years ago Da! Broo mgejaribu kuwa mnatoa cd tunazinunua mnauza hata cd moja ina stori mbili 20 ingekuwa vizuri sana. 31
  • @
    @allythabiti81505 years ago Itabid tuandike historia yetu, sio tunasoma historia iliyoandikwa na watu sio sisi. 23
  • @
    @mpendakiswahili30533 years ago Naskia raha sana, historia kutolewa kwakutoka kenya.
  • @
    @mukikibati35194 years ago Simulizi kali sana muhimu kusikiliza asante.
  • @
    @tinawilliam49615 years ago Asante kaka nilikua sielewi chochote kuhusu mkwawa. 5
  • @
    @allythabiti81505 years ago Sikuzi cjuui kwann hawazaliwi vijana jasir kama wa zamani aise,
    mkwawa namuelewa saana. Huyu jama ni hatari.
    16
  • @
    @jumamdoe51235 years ago Story zako zipo vizur sana kaka toka nianze kusikiaga story ya gadafi mpaka sasa napenda sana voice ad simulz zako
    big up.
    29
  • @
    @lilianluhasi3115 years ago Hapo inaonyesha uhehe ulitokana na mchanganyiko wa uzao wa mswimi toka uaveshi na wazawa waliowakuta, hivyo hizo koo zaidi 100 za mchanganyiko huo ndiyo . ...Expand 21
  • @
    @saidmosh26955 years ago Hongera sana mjomba unatupa chakula cha ubongo cc tucyeyajua haya. 1
  • @
    @marcelmlacha85965 years ago Umeisimilia vizuri
    endelea na kazi.
    3
  • @
    @zawadigwimile26375 years ago Da leo nimeelewa asili ya waburishi wa rujewa asante mkuu. 12
  • @
    @shabanbuchu21305 years ago Ningependa kuona library yako ya vitabu. Kwa akili hii nahisi husomi pumba. 41
  • @
    @denismugendi10345 years ago Kaka uko sawa tena makini sana, historia ya afrrika inaniingia zaidi ya kipindi kile nikiwa shule, nashukuru. 4
  • @
    @masaulihassan24635 years ago Najivunia kupata historia kwa simulizi baada ya ile ya shule yaglabal tv. 1
  • @
    @fineskilatu54325 years ago Napenda saut yako mtangazaj yaan mtu unajikuta unataman uendelee kusikiliza. 1
  • @
    @ngenzisaid49585 years ago Nyama ya mbwa dah ngoja nitafute hiyo nyama na dawa yake ninuse watu this is iringa brother waheh tupige like. 10
  • @
    @jasirimkombozi49265 years ago Natamani simulizi hii ingekuwa movie fulani hivi. 84
  • @
    @nzisakasau82345 years ago Simulizi nzuri sana inazidikuwa tamu kwa ajili ya sauti ya edgar mpangaze kazi safi.
  • @
    @nyavaelly54505 years ago Historia nzur sana msoma historia upo vzr. 1
  • @
    @JohnKitime20152 years ago Chumvi nyingi mno. Wasiojua watafurahia sana.
  • @
    @matitu_jr50355 years ago Leo hii kuwa kiongozi tanzania si elimu wala ushujaa bali ukiijua ilani ya ccm umepita. 41
  • @
    @starwayafricatv50175 years ago Asante sana glob tv. Maana mkotupeleka sipabaya kbs. Hendeleni kutujuza kbs. Asanteni sana.
  • @
    @zamdakimaro29734 years ago Mimi bwana acha tu hii chanel inanikoshaga sana. 1
  • @
    @linkreuben58045 years ago Yesu anaweza yote. Uko vizuri kaka, huu ndo muda wetu tanzania. 2
  • @
    @asiahngoge45474 years ago Nimewapenda bure wahehe ewe mchumba mnyakyusa niache mhehe anawapiku.