Duration 1:22:51

MAOMBI NA MAOMBEZI JUU YA ANGA - PASTOR JOHN SEMBATWA

3 474 watched
0
70
Published 17 Sep 2021

Danieli 10:12-13 [12]Ndipo akaniambia, Usiogope, Danieli; kwa maana tangu siku ile ya kwanza ulipotia moyo wako ufahamu, na kujinyenyekeza mbele za Mungu wako, maneno yako yalisikiwa; nami nimekuja kwa ajili ya maneno yako. [13]Lakini mkuu wa ufalme wa Uajemi alinipinga siku ishirini na moja; bali, tazama, huyo Mikaeli, mmoja wa hao wakuu wa mbele, akaja kunisaidia; nami nikamwacha huko pamoja na wafalme wa Uajemi. Kuna majibu ya maombi yako ambayo Mungu alishayajibu muda mrefu,lakini nguvu za giza zinazoshikilia anga zikayazuia yasikufikie.Katika kuomba unajua kabisa Mungu ameshakujibu lakini huoni matokeo yakija kwenye uhalisia.Kuna vitu vingine(majibu mengine) yanakuwa yamezuiwa katika anga ili yasikufikie. Mtumishi wa Mungu aliongoza maombi juu ya anga linaloshikilia Uchumi, Elimu,Ndoa, Familia na mengine mengi. Pia alifanya maombezi kwa wazaliwa wa kwanza kwenye familia ambao walitakiwa kuisaidia familia au kuikomboa familia. Fuatilia Maombi haya upokee baraka na Mungu atahusika na kila hitaji lako. Barikiwa. UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322 Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii Like our Facebook: https://www.facebook.com/Therealityof ... Follow our Instagram: https://www.instagram.com/realityofch ... Subscribe our YouTube: /channel/UC67L ... Also Subscribe Roc worshippers youtube channel:/channel/UCyVhAzjcFaJH7lxgiMQviGQ and Subscribe Pastor Sunbella Kyando YouTube /channel/UCoBuJc3EbjF6r90ov6B3N0Q

Category

Show more

Comments - 11