Duration 10:12

MAGUFULI BILA KUPEPESA MACHO AMPA MAKAVU WAZIRI MKUU WAKUOMBEA, MIAKA 10 NI PROBABILITY

46 836 watched
0
195
Published 16 Nov 2020

Category

Show more

Comments - 70
  • @
    @ibel4lf4 years ago JPM hawezi kukaa na kitu moyoni yy anaongea tu kilichoko moyoni ucheke unune yy keshaongea.... nilipokuwa naangalia live nilikuwa naogopa utadhani mie ndio Kassim Majaliwa 🤣 7
  • @
    @munaahmed84994 years ago Yaani rais wetu ukiwa hueleweki kwenye kazi yako tu haangalii kuw ww ni nani kwake hata kam ni mwanae yeye anatumbua ndio tujue kuw tumejaaliw rais asokuw na ubaguz angekuw mtu mwingine hatumbui anakaa kimya ili anaekula ale tu jmn tuna rais walah Allah atulindie ... 7
  • @
    @mjitahidiomary87334 years ago Jpm Wwe noma Sana hatutozulumiwa Haki zetu mungu akulinde MA shallah 1
  • @
    @mohamedkikale72414 years ago Ni ngumu sana wengi wetu kukuelewa, chapa kazi kiongozi wetu, Allah akuongoze vyema kwenye majukum yako ya kila siku. 3
  • @
    @maimunafundi35444 years ago Hongera Magufuli kwa kuwa muwazi juu ya mawaziri na Waziri Mķuu ili wasijisahau 2
  • @
    @andulilemwakihabha20484 years ago Wanao mchukia Magufuri Basi hao ni wachawi tu sio bule watanzania inabidi tumshukuru Mungu kwa kutupa huyu raisi ni raisi muwazi na mkweli 6
  • @
    @deborahdeogratius44474 years ago Tunaotamani majaliwa aendelee kuwa waziri mkuu like tujuane 12
  • @
    @titosiampala92834 years ago Tanzania president is for the people, not corrupt like many in his position. 1
  • @
    @mwanajumaomahundumla65044 years ago Ninachompendea huyu baba anasemagaukweli haogopi chochote ukinuna au ucheke utajua mwenyewe 5
  • @
    @jokeableking70394 years ago Magufuli hazoeleki ukiteteleka tu anakutupilia mbali!!!!!!!!!!!!!!
    Hapo ndo ujue magufuli yuko pekee yake hana guarantee pia
    7
  • @
    @mussaomary41783 years ago Naona majariwa arikuwa tumbojoto arijuwa anatumburiwa
  • @
    @bjzee19814 years ago Bora nikae jobless kiliko kuteuliwa na huyu mzee 😂 3
  • @
    @haikajohn75804 years ago Utenda kazi wenu utawasimamia ongezeni bidii
  • @
    @jumakapilima56744 years ago Huko sasa ni kutishana, kiuongozi sio nzuri!!!
  • @
    @aishanassor81304 years ago Wananchi mumewakopa sio wamekukopa , na hivyo ni wajibu wenu kurudisha deni sasa
  • @
    @WASHATube4 years ago HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
    https://youtu.be/Mk4s9P_wzlw
    NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥
  • @
    @markpeter71014 years ago Mshaanza kulana wenyewe baada ya kuua wazanzibar mungu yupo 1
  • @
    @emanuelfissoo20154 years ago Wakurungezi na maafisa wa usalama walipiga kazi mno na tume ya uchaguzi
  • @
    @emanuelfissoo20154 years ago Mwinyi ameelew mmeiba kura ndo maan hashangilii hata mara mmoja