Duration 41:52

Zingatia haya kuepusha Talaka na Migongano ya Mara kwa Mara Katika Ndoa Sehemu ya Kwanza

9 412 watched
0
76
Published 6 Sep 2021

Hii ni sehemu ya kwanza ya Darsa la maboresho ya ndoa iliyofanyika siku ya Jumapili tarehe 05.09.2021 katika Masjid Gadafi Kigamboni chini ya usimamizi wa Ummulkhair Madrasa ambayo iko chini ya uongozi wa ma-Ukht wetu Khadija Idd na Fatma Mdidi.

Category

Show more

Comments - 12