Duration 2:00

LOGO NA JEZI MPYA ZA SIMBA KWA MSIMU WA 2020/2021 KUZINDULIWA KESHO

177 watched
0
2
Published 13 Aug 2020

Msemaji wa timu ya Simba SC Haji S Manara akizungumza na Waandishi wa Habari leo Agosti 13 katika Hotel ya Serena jijini Dar es slaam ameeleza kuwa kesho timu hiyo itazindua Logo mpya ambayo imefanyiwa marekebisho kutokana na maoni kutoka kwa Wadau mbalimbali wa soka. Hivyo baada ya kuzindua Logo/Nembo ya timu baadae tutazindua pia Jezi ambazo zitatumika kwenye msimu wa 2020/2021.

Category

Show more

Comments - 0