Duration 2:46

Magoli | Mbeya Kwanza 0-2 Yanga | NBC Premier League

280 741 watched
0
1.4 K
Published 30 Nov 2021

Magoli mawili kutoka kwa Saidi Ntibazonkiza na Fiston Mayele yameipa Yanga ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mbeya Kwanza katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Sokoine, Jijini Mbeya. Haya hapa magoli.

Category

Show more

Comments - 147