Duration 1:42

MAMA DANGOTE AONESHA NYUMBA YA KIFAHARI PAMOJA NA MAGARI YA DIAMOND PLATNUMZ

54 343 watched
0
642
Published 21 Apr 2020

#wasafi #wnews

Category

Show more

Comments - 70
  • @
    @makiwilson23224 years ago Ringishia mama ulipata shida miaka ya nyuma. 14
  • @
    @muhammadmahmoud10684 years ago Najiuliza ivi yule mze abdul jinc anavyoteseka km hana watoto +974. 6
  • @
    @aishaally27304 years ago Haya yote ni mapambo ya dunia usijisahau mama kutengeneza akhera walikuwa kina miko jackson nawameacha usijisahau mama. 11
  • @
    @niggaBoySnowman4 years ago Mbona hakuna hata gari la kutisha hapo? Zote kawaida kbs. 5
  • @
    @hallin95614 years ago Umasikini sio tiketi ya kutupeleka mbinguni. Maisha ndio aya. Mungu ametubariki milki zote. 1
  • @
    @mahsneermohammed21074 years ago Sio furaha unakula ww tu mtoto hata mzazi anatakiwa awekwa furaha sabab yuko hai salute kwako simba babalao daima mfano wako hakuna kwa wasanii unajali furaha ya mama+254. 1
  • @
    @mussaabobakar75374 years ago Ss tayr suma limited wa zanzibar tushamzika huku tena watu sita tu kazikwa tujarbu kujitengezea akhera zetu uko kaburin tuendapo. 7
  • @
    @lindabalinda34474 years ago Amum who interferes with his sons relationship, are u going to get married to him, give him space.
  • @
    @user-os9ul5iu5y4 years ago Nivyadunia batafute akhella ndopazuri zayidi.
  • @
    @aishayussuf34204 years ago Hivyo ni vya dunian tu amejiandaa vipi kuja kukutana na mola wake au atamtumbuiza kwa nyimbo pesa na magari.
  • @
    @famitonawanda48314 years ago Nikiwaangalia hawa wamama, wenye watoto mastaa, huwa namuurumia sana mama kanumba, hivi anajisikiaje yule mama, kwa mfano? Jamani hizo ni filings za karanini. 12
  • @
    @moffatoobiero61084 years ago Thiefi wewe hujaonyesha what you' ve been talking about. 1
  • @
    @happyeugen4684 years ago Mama tamba lakini kaburini kwetu sote zote hizo zitabaki duniani. 4
  • @
    @aminachaulaya2784 years ago Gari la mwisho jeneza nyumba ya mwisho kaburi wote tunalala chini.
  • @
    @achawanunetv11674 years ago Simba ni mpangaji kwenye uyo mjengo msitaki kuwadanganya watu. 2
  • @
    @salumsimba60644 years ago Uko sku mtakufa na mtayaacha hayo majumba.