Duration 2:59

VIWANJA VILIVYOPIMWA DAR ES SALAAM NA PWANI

Published 4 Mar 2021

VIWANJA VYOTE VIMEPIMWA NJOO UJIPATIE UKIPENDO ROHONI. ■ Viwanja vipo vikindu mjini(mwajasi) Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani ■kutoka barabara ya lami[stendi] hadi viwanjani ni km 2 takriban ■Ukubwa wa viwanja ni ft 40 kwa 50 sawa na ft square 2000 ukizileta kwa vipimo vya mita sawa na mita 13 kwa 16 ambapo ni sqm 208 ■Huduma za kijamii muhim zote zipo umeme uko viwanjani, maji yapo viwanjani na huduma zingine zipo karibu. ■Barabara hadi site zinapitika na viwanja vimeangiliwa kwa mitaa hivyo kila kiwanja kinatazama barabara. USAFIRI 💪 kuna daladala za kutosha kutokea Kariakoo,Temeke,Feri,Kigamboni,Mbagala hadi hapa Vikindu. Gari moja tu hadi hapa Vikindu.....🔥 🌻Bei ya viwanja ni Tsh. 2,000,000/= ambapo hii ni ofa! bei ya mwanzo ilikuwa Tsh. 2,500,000/= HIVYO BASI ukija leo basi umeokoa Laki tano. 👌Licha ya kuwepo ofa hiyo bali kuna ofa zingine tele kama vile kuvutishiwa bomba la maji bure kwa mwenye kununua viwanja kuanzia vitatu na kuendelea. 👌Pia kuletewa tofali 100 bure ukinunua viwanja viwili kwa malipo ya cash. na ofa zingine nyingi. Wenda ukajiuliza "vipi naweza kulipa kwa awam?" jibu ndiyo inawezekana tena kwa mshiriki wa group hili atapewa bonus ya kuongezewa muda wa malipo. ○●○👉Nyaraka za kiserikali zinapatikana ukijumuhisha hati za umiliki na hati za mauziano pia. ila kwa sasa utapewa hati original ya mauziano na mradi ukiisha basi hati miliki zitatolewa. TAMBUA: kuja kuona site ni bure hakuna malipo tena hata nauli unaweza kupewa pia! kwa aliye serious. 🤝Tupo site siku zote za wiki ila siku za weekend ni siku ya kupokea wageni hivyo tunakuwepo site kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa kumi jioni. KUMBUKA...! HABARI NJEMA HUU NI MSIMU WA OFA ZETU HIVYO NJOO UJIONEE VIWANJA MAPEMA ILI OFA ZISIKUPITE #viwanja #viwanjatz #viwanjamorogoro #viwanjakibaha #viwanjavilivyopimwa #viwanjakinyerezi #viwanjani #viwanjabagamoyo #viwanjakigamboni #viwanjagulio #viwanjadar #viwanjadodoma #viwanjamashambamkopo #viwanjavyamkopo #viwanjabeinzuri #viwanjabora #viwanjavyaposta #viwanjanamashambamkopo #viwanjavyauhakika #viwanjavimepimwa #viwanjatanzania #viwanjagoba #viwanjabeirahisi #viwanjamalipokidogokidogo #viwanjavizuri #viwanjabeinafuu

Category

Show more

Comments - 33
  • @
    @maloomaalmnsj51113 years ago Dalali nimekupenda mcheshi sana inakuwa biashara ongera. 3
  • @
    @ally2nyiii3183 years ago Dalali wew ktk mbilion 2 unakula bei gani ili nijipange mapemaaa.
  • @
    @jokahali90403 years ago Mm siish huko naish nje ya nchi nawatakia karibu na mji kutoka hapo mpaka kariakoo ni masala mangapi.
  • @
    @happywillim5792 years ago Unatoa maelez had raha sas unakwama wap mbon hujibu maswali yawatu.