Duration 5:27

MWANZA: Polisi Waua Majambazi Watatu Katika Mapambano ya Risasi

40 285 watched
0
86
Published 20 May 2017

#majambazi #Watatu wameuawa kwa kupigwa risasi wakati wa majibizano kati yao na polisi jijini #Mwanza ambapo wengine watatu walifanikiwa kukimbia. Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 #Kamanda wa #Polisi pia wamefanikiwa kukamata bunduki aina ya ‘shotgun’ na magazine mbili zikiwa na risasi mbili na maganda mawili. Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 #Kaimu #Kamishna wa #Polisi #Mkoa wa #Mwanza, #Ahmed #Msangi amewataja waliouwawa kuwa ni #Benedict #Tobias, #Mabula #Segeja na #Charles #Thomas huku wenzao watatu wakikimbia. Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 “Askari walipowabaini majimbazi hao katika eneo ambalo walipanga kukutana waliawataka kujisalimisha lakini majambazi hao walikaidi na kuanza kurusha risasi ambayo ili mjeruhi mwenzao ndipo askari nao wakaanza kujibu ,” amesema #Msangi. Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chaneli yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 Amesema miili ya watuhumiwa hao wa ujambazi imehifadhiwa katika hospitali ya rufaa Bugando kwa ajili ya uchunguzi na utambuzi. Kamanda huyo amesema msako wa kuwatafuta waliokimbia bado unaendelea. WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublishers/ TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpublishers/

Category

Show more

Comments - 6