Duration 4:37

Msichana aliyekuwa akitibiwa nchini India arejea nchini

14 454 watched
0
142
Published 2 May 2021

Alipoondoka nchini takriban miezi miwili iliyopita, hali ya msichana Anna Kamonze mwenye miaka 11 ilikuwa imedhoofika pakubwa kutokana na ugonjwa wa moyo. Safari yake kuelekea India ilikuwa yenye matumaini kwao, na kurejea kwake salama nchini kumeipa familia yake matumaini makubwa. Anna Kamonze ni miongoni mwa takriban abiria mia mbili waliowasili kwenye ndege ya mwisho iliyowasili jana usiku kabla ya makataa ya kuingia na kutoka nchini India.

Category

Show more

Comments - 59