Waziri wa Fedha Meigulu Lameck Nchemba amewataka Viongozi hasa wa Upinzani Kujikita kwenye mambo ya Maendeleo ili kwenda spidi ya maendeleo, Aidha amewataka pia wale wote waliokimbia Tanzania kwa sababu zozote kurejea Nchini ili kuijenga Nchi, hata hivyo Vyama vya Upinzani vyalilia Umoja na Serikali Bungeni; Mbunge Stella Fiyao Alielezea yafuatayo.......
SUBSCRIBE HAPO JUU
tembelea WEBSITE YETU
https://bmtvtanzania.com/
INSTAGRAM
https://www.instagram.com/bmtvtanzania
FACEBOOK
https://www.facebook.com/bmtvtanzania
TWITTER
https://twitter.com/bmtvtanzania1