Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jinsia kutoka Wizara ya Afya akielezea jitihada zinazofanywa na Serikali katika kutokomeza ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto nchini, akiwa kwenye kongamano la kupinga ukatili Kwa wanawake na watoto Mkoani Kigoma
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for MKURUGENZI WA JINSIA AKIELEZA SERIKALI INACHOKIFANYA KUTOKOMEZA UKATILI: