Duration 8:43

JAMAA WAMEBUNI KIVUKO KWA MADUMU NA KAMBA, KINABEBA ABIRIA 30 NA PIKIPIKI 6

121 517 watched
0
816
Published 4 Jun 2021

Kutoka Bariadi mkoa wa Simiyu kuna hawa vijana walioamua kuokoa jahazi kwa kuvusha abiria na mizigo kwa kutumia chombo walichokibuni kwa madumu na kamba kwa kuvuta kwa mikono yao, kinauwezo wa kubeba abiria 30 na pikipiki 6.

Category

Show more

Comments - 221