Duration 3:23

The Lightbearers Tz- Niimbe Pendo Lako- Live Worship Session (Wimbo wa Kristo Na.31)

57 185 watched
0
437
Published 21 Jul 2020

Mwandishi:F.E.Belden Mtunzi:F.E.Belden 1. Niimbe (niimbe) pendo lake, Pendo la (pendo la) Yesu Bwana; Sababu (sababu) alitika Kwa Baba akafa. Niimbe (niimbe) pendo lake; Sifa kuu (sifa kuu) nitatoa; Akafa (akafa) niwe hai, -- Niimbe pendo lake. 2. Machozi (machozi) alitoa Ijapo (ijapo) sijalia; Maombi (maombi) yangu bado, Aniombeapo. 3. Upendo (upendo) kubwa huo! Dunia (dunia) haijui Samaha (samaha) kwa makosa Kubwa kama yangu. 4. Hapana (hapana) tendo jema Ambalo (ambalo) nilitenda, Nataka (nataka) toka leo Nimwonyeshe pendo.

Category

Show more

Comments - 88