Duration 9:15

MASOMASO QASWIDA | KIBOKO YA HARUSI | Maalim Seif ft. Ally x Tarik (Official Audio)

4 522 watched
0
475
Published 1 Feb 2021

Hii Ni Burudani Pekee Inayokonga Nyoyo Za Watu Katika Sherehe Mbalimbali Za Harusi Ya Kuwapongeza Bibi Na Bwana Harusi Wanofunga Ndoa, Kwani Ina Nderemo Na Vifijo Vya Kusuuza Nyoyo Zao. Ni Qaswida Mpya 2021 Iliyotungwa Kwa Ustadi Wa Hali Ya Juu Na Kijana MAALIM SEIF, Mwenye Kipaji Cha Pekee Cha Utunzi Wa Mashairi Na Kuwafikia Walengwa. Helwa Helwa Helwa #Masomaso #Helwa #Harusi #Kaswida #abnaumuhammad Qaswida: MASOMASO Producer: CHOLO (AHIMT) Mshairi: MAALIM SEIF Waimbaji: Maalim Seif x Ally x Tarik Crew: ABNAU MUHAMMAD (0675633974) -INSTAGRAM: https://www.instagram.com/abnau_muhammad/ -FACEBOOK: https://m.facebook.com/SonsOfMuhammad/?ref=bookmarks

Category

Show more

Comments - 162