Karibuni tena wapenzi kwenye video nimeonyesha Jinsi ninavyo tumia maji ya mchele kwenye nywele zangu.
Maji ya mchele yana faida nyingi sana kwenye nywele. Yanasaidia kukuza nywele, kujaza nywele kichwani, Na kurefusha nywele.
Video ya maji ya mchele
/watch/w1kSsulyG3LyS
Steaming ya kukuza nywele
/watch/kyRwAnHYBIEYw
Unaweza kunipata kwa
Instagram: bariki.k
Email address for sponsorship or business: bariki. Karoli@gmail.com