Duration 20:18

DEREVA BODABODA ALIVYOKUTANA NA KIUMBE WA AJABU USIKU WA MANANE/ALINAMBIA TUMALIZANE/CHUPUCHUPU

134 237 watched
0
648
Published 20 Feb 2021

#maisha #simulizizakweli #mbanga Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #Dar24 #Dar24Media

Category

Show more

Comments - 141
  • @
    @bilalbaker92383 years ago Asante mbaga, lakini pia ndugu boda kwa kutueleza kiumakini. 1
  • @
    @emmanuelmkumbo17923 years ago Kazi kama kazi, karibu sana mshkaji wangu.
  • @
    @crixwidaxl99993 years ago Kazi km kazi. Hahaha
    karibu ten mshikaj wang.
  • @
    @pendaelimolell35103 years ago Ni kweli brother ata mimi nilisha fanywa ifo jamaa kanitoroka bila kunilipa. 1
  • @
    @giddyarchard62683 years ago Hizi story za msibani
    kufariji wafiwa.
    1
  • @
    @Davians7113 years ago Father piro umeyumba umejichoresha kinoma.
  • @
    @ramadhanyusuph76333 years ago Jamaa kuna neno kasema nimelipenda sana kwamba kazi ni akili yako kukomaa upate pesa au kula mzigo tu uludi patupu tzlaha sana. 3
  • @
    @jumahamis2273 years ago Ana maneno mengi sana, inaonekana mchangamfu sana ukipanda boda yake. 1
  • @
    @zindahwillson21063 years ago Matukio yote umekutana nayo we no ma sana mzee.
  • @
    @castoagust70733 years ago Kama umeskia sometimes madem wanalalia mgongo wangu gonga like. 7
  • @
    @magretpeter99243 years ago Hapo kwenye kumpa boda yako akachukue hela kwa boss ni uzembe utampaje mtu chombo chako cha motoo? 1
  • @
    @magemushi55943 years ago Chereani tena ya umeme maneno mengiii sijui unaulizwa nini unajbu nini ilimradi umechangamsha genge.
  • @
    @bilhaagutu97883 years ago Wale wa 254 wapi likes zetu kwa kipindi kizuri.
  • @
    @yohanamuumbe46283 years ago Waandishi wa habari muwe mnaandika habari za kuelewaka kwa jamii, jadithi hatutaki. 1
  • @
    @dulamedy22963 years ago Karibu tena mshkaji wangu. Huyu kweli ni bodaboda.
  • @
    @mwidinijuma82143 years ago Huyu jamaa kama muongo vile anasema pikipiki ilikuwa silencer alichofanya nikuwasha bodaboda na kuondoka! 1
  • @
    @adilhabibu79583 years ago Sema hapo wasomesha wenzio kama btahadhar tu.
  • @
    @fadhilikawambwa51593 years ago Mmh huyu jamaa hakumaliza kweli? Mbona mjanja sana.
  • @
    @jayjay43133 years ago Jamaa wa namna hii waongeaji ka umeme lazima story zao zihusike na mambo ya kutofikirika. 5
  • @
    @stidejustin11563 years ago Yani kuanza ru kutizama nimejua haka kajama kanaongea sana kazee lkn kansmuita jamaa mshkaji wang.
  • @
    @cheiknamouna20583 years ago Ati ukiwa msafi is mater zaidi nani kaskia hiyo. 2
  • @
    @godfreypeter52423 years ago Huyu jamaa muongo alifanya ukiondoa hiyo mitihani mingine.
  • @
    @ivaniavianarodrigo72013 years ago Huyu kameza mabetry na zile kanda za kaseti, au flash maana daa! Analonga sana. 2
  • @
    @uvuvuvwevweonyetenyevwe1213 years ago Sura na shat kama muimba kwaya ila sasa anavyopiga domo anaonekana dalali huyu.
  • @
    @d.m4533 years ago Kwani bodaboda yenyewe inasemaje bladha, maana naona mauongo uongo tu, kila uulizwacho ulikutana nacho.
  • @
    @magrethdavid34683 years ago Hahahahaha kweli kana mastory ya uongo haka kazee. 1
  • @
    @magemushi55943 years ago Ulivokua unaambiwa na uyo dada mmalizane ulikuwa na iyoiyo sura au nyingine. 1
  • @
    @irakozejclaude78693 years ago Kwanza mzee au kijana? Nahofu nahuu kiumbe waajabu. Dc huu mchukuwe kachunguzwe. 1
  • @
    @alphankilenga62093 years ago Huyu jamaa lazima alimenya. Maana mijidada inayojiuza kama hiyo inakuwaga na mitego ya new model. 3
  • @
    @christianjohnmwalugaja80903 years ago Huyu mwongo tu kisa cha kwanza alichohadithia. 1
  • @
    @salmadhiab26933 years ago Duh muongo kilakitu kapitia mtangazaji muulize vp wewe hujabakwa tusikie atajibu nini. 3
  • @
    @godwinmpazi15603 years ago Huyu jamaa, ugali na dagaahuo mlo ndugu zanu
    namkumbuka alikuwa mpiga debe kituo cha mwenge enzi hizo matopemsingi sasa none kana nimezeeka kuliko yeye.
  • @
    @suzanemwangingo69323 years ago Sina muda wa kumsikiliza huyu chizi naangalia watu wanaoongea point.