Duration 2:7

MAHITAJI MAKUBWA NGUZO ZA UMEME YACHOCHEA UWEKEZAJI VIWANDA MKOANI NJOMBE.

145 watched
0
0
Published 26 Jun 2020

Mahitaji makubwa ya nguzo za umeme kwa ajili ya mradi wa Nishati Vijijini REA yamechochea wawekezaji kufungua viwanda vingine katika mikoa ya Njombe na Kigoma na kurahisisha upatikanaji wa nguzo hizo kwa wananchi. Mkurugenzi wa Kiwanda cha Kuzalisha nguzo cha Qwihaya kilichopo wilayani MUFINDI LEONARD MAHENDA amemuarifu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu UWEKEZAJI ANGELLA KAIRUKI kuwa hatua hiyo inatokana na serikali kuboresha mazingira ya uwekezaji.

Category

Show more

Comments - 0